Recent content by Bhaghosha

  1. Bhaghosha

    Huyu ndo Mkuu wa Majeshi ambaye watu wanaweza kujivunia kuwa naye

    Hapana, majenerali wetu hasa huyu, ni kamanda kweli. tatizo ni pale wanapouvua uanajeshi/ukamanda na kuongozwa au kusikiliza ya wanasiasa/wanamaslahi/watu aina ya Abdul na the like inakuwa shida. Unakumbuka hata ile statement yake wakati wa maandamano ya 29 October, hakuitoa kama CDF. Alikuwa ni...
  2. Bhaghosha

    PostGE2025 Ni uapisho wa Waziri Mkuu, lakini sura nyingi zinaonekana zenye huzuni, nini kinawasuta kwenye nafsi zenu?

    Mkuu wa majeshi kawekwa benchi? Inakuwaje anakaa nyuma. Protocol gani hii?
  3. Bhaghosha

    GE2025 Kiongozi huyu ni hatari kwa mustakabali wa chama na Taifa!

    Inahitajika nguvu ya ziada kumcontrol. Hawa wastaafu enzi ya mzee baba, walipewa role nyingine kabisa. Sasa jamaa kaingia mwili wote kabisa.
  4. Bhaghosha

    GE2025 Kiongozi huyu ni hatari kwa mustakabali wa chama na Taifa!

    a. Aliingia kupitia mtandao b. Akamtema namba mbili wake katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi c. Uchaguzi uliofuata akatumia familia kufanya kampeni nje ya mfumo wa chama. d. Alitumia muda mwingi nje ya nchi e. Akamuaandaa shemeji yake kuwa kumrithi wa nafasi yake. Alimanusra chama...
  5. Bhaghosha

    PreGE2025 No Reforms No Elections Campaign, zingatieni na muongeze yafuatayo kuwaelimisha wanainchi

    1. Pamoja na umasikini wa kuletwa, lakini hata hicho kidogo kinaishia mikononi mwa wachache. sasa hao wachache ndiyo wanahakikisha hakuna uchaguzi huru. siyo CCM yote. 2. Matumizi mabaya ya serikali. Toeni mifano halisi kwa nini pesa ya wanainchi inavyoliwa. Tumieni mifano rahisi kueleweka...
  6. Bhaghosha

    PreGE2025 Mwenyekiti Mbowe, sisi wananchi hatutaki tena siasa za Ki UNCLE TOM tunataka siasa za kuwapelekea CCM moto. Huelewi wapi?

    Moto wa chama chini ya FAM umezima kabisa. Na kwa approach yake chama kinaelekea kuwa kama CHAUMA kuwa kipo lakini hakipo. Ni wakati sasa kuurudisha moto na ari ya mageuzi kwa kuleta damu mpya. CCM huwezi kuitikisa kwa approach ya FAM. Huwezi. CCM inahitaji kupata chagizo sahihi za akina TAL...
  7. Bhaghosha

    Mradi wa AFCON City Arusha wapigwa na wajanja, viongozi na vigogo watajwa

    Kweli kabisa. Wasiwasi wangu, kama mpango miji wa AFCON City hautapitishwa mapema, 2027, tujiandae na kuwa na squatters zimezunguka uwanja. Na pia hao vigogo wanaokwamisha zoezi hilo ni kina nani hasa?
  8. Bhaghosha

    Mradi wa AFCON City Arusha wapigwa na wajanja, viongozi na vigogo watajwa

    Juzi tumeona maendeleo ya ujenzi wa kiwanja cha mpira cha AFCON kule arusha. Lakini, huwezi kuamini, hadi sasa serikali imeshindwa kuhitimisha michoro ya AFCON City kuuzunguka uwanja. Sababu zinatajwa, vigogo wanang'ang'ania maeneo yao yapangiwe vivutio vizuri zaidi tofauti na wataalaumu wa...
  9. Bhaghosha

    Serikali inaukaribisha Mlipuko au Vurugu kipindi hiki cha uchaguzi

    Chama cha upinzani Chadema kwa muda sasa wameshindwa kuunganisha nguvu ya umma dhidi ya serkali. Sasa ni serikali yenyewe imeleta kiwashio cha bomu. Chadema sasa inatakiwa ku detonate na nchi nzima ilipuke. Ni simple sana. Kwa kuwa kuenguliwa kwa wagombea wao ni mkakati, na hata baada ya...
  10. Bhaghosha

    Mzee Msekwa: Msafara wa Nyerere ulikuwa na Magari Matatu tu na hakupenda Ving'ora tofauti na ilivyo sasa

    Huyu naye akae kimya kabisa. Kwa hiyo anataka kusema nini hapa. Naye ameingia kwenye kundi la kulialia. Kwa nini asisimame na kutamka wazi nini kifanyike. Hii kukaa unalinganisha na kipindi cha Nyerere wakati alikuwa na nafasi ya kurekebisha hali isije fikia tukawa na misururu ya magari mia huko...
  11. Bhaghosha

    Mke Ukiachika, Ukapata Bwana Mpya, Ni Sawa Kumzungumzia Bwana wa Zamani Kila Uchao? Wanasiasa Hamahama, Wanachofanya ni Sawa Kuponda Tuu Walipotoka?

    Nikimwangalia simmalizi kabisa. Nadhani walengwa wa ujumbe wake si sisi wa Jamii Forum
  12. Bhaghosha

    Umoja wa wazalishaji wa sukari Tanzania (TSPA) Wajitetea kuhusu kupanda kwa Sukari. Hawajawahi kuficha Sukari, Si kazi yao kuagiza Sukari nje

    Mwenye full interview ya Umoja wa wazalishaji wa sukari Tanzania (TSPA) aiweke hapa. Hii ya michuzi amekata pale tunapohitaji kusikia
Back
Top Bottom