Well ni sahihi Singida kuwaweka benchi wachezaji muhimu kama Trabi, Bada, Imoro, Ande hata Chukwu kwa mechi nzito kama hii na Yanga??
Then, unaingiza Chukwu akacheze beki wakati bechi una A. Tra Bi?
Wewe kwako unaona sawa?
Hii kwako ni kawaida??
Nakumbuka Wolves walishawahi adhibiwa na FA sababu ya kupanga kikosi kilichotafsirika kuwa ni dhaifu.
Kupitia point hiyo tu, angalia kikosi cha Singida dhidi ya Yanga. Hapa tu TFF wakisimamia hii mechi lazima adhabu zitolewe.
Mwanzo ilikua ni ngumu sana kuthibitisha, ila kama mamlaka hawata simama hata katika hii Mechi dhidi ya Singida, basi wajiudhuru tu maana kazi imewashinda.
Si mchezo aisee. Hata hizi motisha zinapaswa kutazamwa upya, kwanini zinawekwa kwa timu moja pekee. Kama ni matokeo chanya kwanini ilitolewe kwa timu zote zenye ubora.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.