Recent content by best bestest

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania wajanja night Vodacom

    kama kuna anaejua wajanja night imepatwa na nini,? maaana hii wiki sasa nikijiunga naambiwa salio halitoshi wakati limezidi mara 3 zaidi
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania kutengeneza external hard drive

    wakuu nina external hard drive Samsung 320 gb ilianza kuunguruma ghafla nikiiconnect haifanyi kazi ipo tu kama haijaconnectiwa haiwaki kitaa wala kusoma. msaada tafadhali
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania wataalam samsung external hard drive

    asante sana,
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania wataalam samsung external hard drive

    naomba msaada nina Samsung external hard drive ilikua inafanya kazi vizuri ila ghafla nikiichomeka kwenye computer haisomi wala kuonyesha dalili zozote za kufanya kazi, haiwaki mwanga kama awali, imetulia tu, naombeni msaada wenu tatizo ni nini?
  5. B

    JamiiForums Tanzania nokia n97 kwa 170,000 Tsh.

    me nipo dar, kama upo dar unanielekeza ulipo nitakufuata mkuu
  6. B

    JamiiForums Tanzania wanunuzi wa simu used!

    ni nokia n97 naiuza kwa 180,000
  7. B

    JamiiForums Tanzania wanunuzi wa simu used!

    samahanini kwa kutoweka wazi...simu ninayo moja ni nokia n97 na bado inafanya kazi vizuri
  8. B

    JamiiForums Tanzania nokia n97 kwa 170,000 Tsh.

    n9000 sijajua ila n97 mara ya mwisho hivi karibini nimeiona dukani kwa laki 6. Ila n97 mini sijajua bei yake
  9. B

    JamiiForums Tanzania nokia n97 kwa 170,000 Tsh.

    bado ina hali nzuri,nimeitumia miezi 8
  10. B

    JamiiForums Tanzania nokia n97 kwa 170,000 Tsh.

    nokia n97 inauzwa ni used ila nzima na original ina 32gb,camera ya nyuma 5.4 megapixel na mbele 2.8, ina ruhusu wireless kwa shilingi laki moja na sabini.
  11. B

    JamiiForums Tanzania wanunuzi wa simu used!

    wapi naweza kupata wanaofanya biashara ya kununua simu used ambazo nzima kwa bei nzuri
  12. B

    JamiiForums Tanzania Anayeuza gari aina ya Escudo suzuki

    ipo suzuki escudo manual...nitawasiliana
Back
Top Bottom