Recent content by Bespoken artisan

  1. Bespoken artisan

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata mafundi wazuri wa furniture?

    Habari, natumaini wote ni wazima, Nataka kufungua show room ya furniture November. Show room nimeshaanza kuitengeneza maana ni frame za nyumbani na uzuri zipo eneo sahihi kabisa la biashara za furniture ambapo ni Chang’ombe, changamoto ninayopata mimi ninataka kuwa wa tofauti kutengeneza...
Back
Top Bottom