Recent content by Berto Mdendemi

  1. B

    SoC04 Sanduku la Mpiga kura liboreshwe

    Ili tuendelee tunahitaji watu, siasa Safi, ardhi na uongozi bora. Hivi vinategemeana, kinara uongozi bora. Uongozi bora utatoa maono, mengine yachangie kuleta maendeleo. Kiongozi anaongoza watu, Kazi zake; kupanga, kusimamia, kufundisha na kuhamasisha. Anapashwa awe na maono, mbunifu, na...
  2. B

    SoC02 Kilimo cha umwagiliaji kipewe kiaumbele namba moja

    Zaidi ya asilimia sabini ya Watanzania ni wakulima, ili Tanzania ipate mabadiliko chanya shughuli zifanywazo na hawa hazina budi kutiliwa mkazo mno. Wakiwemo ndugu zao wafugaji na wavuvi. Idadi hii ya raia ni rasilimali watu na soko kubwa. Sekta ya kilimo yatakiwa ifanyiwe mapinduzi katika...
Back
Top Bottom