Recent content by Benzie

  1. Benzie

    JamiiForums Tanzania Benz inayopumua: Jiunge nami tujifunze mengi

    🙏🙏
  2. Benzie

    JamiiForums Tanzania Benz inayopumua: Jiunge nami tujifunze mengi

    Paka wako ana umri gani? Anafurahisha sana. Paka kama huyo akiumwa unaweza hata usiende kazini. Tofauti ya maringo yao ni ipi mkuu?
  3. Benzie

    JamiiForums Tanzania Benz inayopumua: Jiunge nami tujifunze mengi

    🙏🙏
  4. Benzie

    JamiiForums Tanzania Benz inayopumua: Jiunge nami tujifunze mengi

    Kabisa. Mimi napenda jinsi anavyoonyesha na kupokea upendo kwa watu wa familia yake. Huyu wa kwetu yeye hana sehemu maalum ya kukaa ila popote anapokaa mwanafamilia na yeye atakuja kujibana hapo hapo. Usiku huwa habanduki chini ya kitanda cha mwanangu. Hata ufanyaje hatoki hapo mpaka huyo...
  5. Benzie

    JamiiForums Tanzania Benz inayopumua: Jiunge nami tujifunze mengi

    Paragraph ya mwisho imenivutia sana. Paka ana akili na upendo sana na ni mlinzi mzuri dhidi ya wadudu wabaya Watu hawajui tu,ukishafuga paka hutakaa tena uweze kuishi bila paka.
  6. Benzie

    JamiiForums Tanzania Benz inayopumua: Jiunge nami tujifunze mengi

    Vya ajabu Kuliko anavyoandika Komwe mnayemshangilia ilihali anaonesha wazi Hayuko sawa kichwani?
  7. Benzie

    JamiiForums Tanzania Benz inayopumua: Jiunge nami tujifunze mengi

    @mods please ikiwapendeza naomba nisaidie kufuta huu uzi. Sikutegemea utageuka wa ngono. Napenda pets.SANA, Nina mbwa pia.Wana akili kuliko baadhi yetu mandingo. Niliamini Kuna wapenzi wenzangu wa paka hapa tufurahie na kufundishana kuhusu wanyama ila baada ya kupost ndio nimekumbuka niko...
  8. Benzie

    JamiiForums Tanzania Benz inayopumua: Jiunge nami tujifunze mengi

    🤔🤔
  9. Benzie

    JamiiForums Tanzania Benz inayopumua: Jiunge nami tujifunze mengi

    Paka! Miaow miaow miaow
  10. Benzie

    JamiiForums Tanzania Benz inayopumua: Jiunge nami tujifunze mengi

    Kumbe. Why?
  11. Benzie

    JamiiForums Tanzania Benz inayopumua: Jiunge nami tujifunze mengi

    Do you have one?
  12. Benzie

    JamiiForums Tanzania Benz inayopumua: Jiunge nami tujifunze mengi

    Yes. Natamani kusikia na wengine wakiongelea paka wao
  13. Benzie

    JamiiForums Tanzania Benz inayopumua: Jiunge nami tujifunze mengi

    Ni wanyama wazuri sana wanafurahisha moyo
  14. Benzie

    JamiiForums Tanzania Benz inayopumua: Jiunge nami tujifunze mengi

    We mbona nakuonaga na pigo za ki yellow bus yellow bus flani hiv😀i sikutegemea ungekasirishwa na paka but it's okay peace out
Back
Top Bottom