Hiyo rush ina sura mbaya sana, although naziona ona bongo, cjui watu wanazipendea nn., bora CHR, iko na ka futuristic look japokua toyota wamezidisha coners and angles ila ni gari nzuri... utakua na kafeeling kama unamiliki ki URUS chako😅😅
Sio tttr tu, hao wanaofanya mods wako weng sana saiv, kuna hao TTTR, car max, upholstery co etc, na hao ni maarufu, bado wale ambao majina hayajakua sana, vile vile inategemea unataka kufanya mods gan
Don't know kama ushanunua au bado, ila the thing is ni gari za class moja. Vile vile hujasema ni new model ya mwaka gani so zote nitachukulia ni za kuanzia 2009 kuendelea
1.they are both sedans with engines 2.5l -3.5l ni wewe tu na mfuko wako. Tofauti iliyopo ni fuga kua grand tourers ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.