Recent content by Bennington255

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yamwaga ajira

    Ni kweli mzee. Mimi nimejaribu ku upload vimeenda, ila sasa ukitaka kwenda kwenye vacancy ili ufanye application yenyewe mfumo unasema "Incomplete application" wakati kila kitu kimejazwa. Mfumo una shida sana.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yamwaga ajira

    Wakuu habari za leo, Kwenye section ya Qualification/documents za ku attach wanaagiza kuweka document ya mfumo wa "pdf" au "image" ila unapotaka kuzi attach kwenyewe sasa, inadai kwamba nothing selected. Kuna ambaye amekutana na changamoto kama hii
Back
Top Bottom