Recent content by Benmpo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kutokana na hili nimejifunza kuwa upinzani wanamkubali sana Rais Magufuli, sema tu neno Upinzani linawafanya wasikiri hilo

    Kujua ku-type tu umeanza kuleta shida mitandaoni.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kutokana na hili nimejifunza kuwa upinzani wanamkubali sana Rais Magufuli, sema tu neno Upinzani linawafanya wasikiri hilo

    Ni Rais wa Tanzania aliyeongoza juhudi za mapambano dhidi ya Corona. Hakuna component ya uchaguzi hapa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kutokana na hili nimejifunza kuwa upinzani wanamkubali sana Rais Magufuli, sema tu neno Upinzani linawafanya wasikiri hilo

    Basi hujaelewa, tuliza mizuka kijana. Kunywa fanta bariiidi halafu soma tena. FYI: Hakuna mahali nimetaja Mgombea wa chama chochote.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kutokana na hili nimejifunza kuwa upinzani wanamkubali sana Rais Magufuli, sema tu neno Upinzani linawafanya wasikiri hilo

    Mbona hueleweki, soma vizuri uelewe kilichoandikwa halafu ndo ujibu kwa usahihi.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kutokana na hili nimejifunza kuwa upinzani wanamkubali sana Rais Magufuli, sema tu neno Upinzani linawafanya wasikiri hilo

    Nimefuatilia kwa makini mikutano yote ya Halmashauri Kuu na Mikutano Mikuu ya vyama vya upinzani particularly CHADEMA na ACT-Wazalendo nikapata funzo kubwa, kuwa za kuambiwa nichanganye na zangu kwa sababu hawa jamaa wanamkubali sana Rais Magufuli katika mambo mengi ila tu hawataki kusema kwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mapigo matatu kwa Bernard Membe katika harakati zake za kuitafuta Ikulu

    Watu mko vizuri sana kujipa matumaini ambayo mioyo yenu inakataa. Full Internal Contradiction
  7. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mapigo matatu kwa Bernard Membe katika harakati zake za kuitafuta Ikulu

    Labda kuna Membe mwingine atafufuka kutoka wafu. Huyo tuliyenaye hata hiyo 8% ni kubwa sana kuifikiria tu
  8. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mapigo matatu kwa Bernard Membe katika harakati zake za kuitafuta Ikulu

    Bernard Membe amekuwa akipitia nyakati mbalimbali za machungu makubwa kwake katika harakati zake za muda mrefu za kuitafuta Ikulu ya Chamwino. Mapigo hayo yamezidi kufifisha ndoto yake hiyo ya mchana ambayo amekuwa akiiota kila uchao. Pigo la Kwanza: Hili pigo alilipata mwaka 2015. Ni dhahiri...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni tete sana

    Naona mizuka ndio imekuwa ikikutawala zaidi kuliko uhalisia wa Mambo. Mbona mnaowaitwa wezi wakiondoka CCM mnawaishia kuwasafisha?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni tete sana

    The same amount unayolipwa kukosoa hoja za maana. Refer: Newton's Third Law of Motion
  11. B

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni tete sana

    Hoja yako nini hapa mbona hueleweki? Unafanyaje comparison of the unlike kiasi hicho? Kweli nyumbu ni nyumbu tu
  12. B

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya CHADEMA na ACT-Wazalendo ni tete sana

    Mara nyingi ACT-Wazalendo wamekuwa wakituonyesha as if wana uhusiano mzuri sana kisiasa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiasi cha kutaka kusimamisha mgombea mmoja kwenye uchaguzi ujao kwa nafasi za Uras, Ubunge, na Udiwani. Ukweli ni kuwa vyama hivyo vimekuwa na misigano ya muda...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni vyama vya Upinzani tu kushinda?

    Haiwezekani kabisa
  14. B

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe angekuwa Mwalimu wangu wa uchumi, leo ningechoma notes zake zote

    Kwa hiyo Lissu chenga
Back
Top Bottom