pweeeeintiiiii hii... mzee agiza soda kwa bili yako. umenena vyema kabisa
siyo kwamba mwanaume ni mgumu kutoa pesa ,bali unatoa pesa kwa mwanamke wa aina gani?? ana mapenzi nawewe?/ ana kitu cha ziada anaku offer?? au hilo tundu lake tu ambalo hata kimboka waweza kulipata?? ngoja niishie hapa...
PWEEEEIIIINTIII.... We unamuita mwanamke aje mahali walau mnywe,mle mpige story ..cha ajabu anakuja na bodaboda halafu anakuja kukuomba hela akamlipe boda ,na ukute 2,000 tu... pumbafuu. hivi unategemea mwanamke kama huyu atakuinua au kukudidimiza??/
Bora ujitengee 30,000 yako jitoe nenda ukale...
hahaahahah...mimi ninaye mmoja ni MUIRAKI....wa babati hapo..acha kabisa... Ukikuta neno i love you kwa sms,basi atakuwa kaandikiwa... hawako romantic kiviileee...ila wanaonesha kabisa jinsi anavyokupenda.. halafu wana wivu sana, anaweza hata kukukata kitendea kazi..ukimletea za kuleta
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.