Wazazi wajitahidi kukaa na watoto wao kwa ukaribu sana kwa malezi Bora ndani ya pikindi cha miaka 4 hadi 13. Tofauti na hapo kumbadilisha mtoto kwenye Tabia fulani ni ngumu tena...........
Kuna watu ambao walipitia shida nyingi sana enzi za utotoni na ujanani mwao; kuanzia kula yao, kusoma kwao, kulala kwao, kuvaa kwao, nk kulikuwa ni kwa shida sana. Kiufupi tu ni kwamba walipitia maisha magumu sana. Watu hawa waliushinda umasikini kupitia elimu, biashara au shughuli nyingine na...
Lazma jamii ijifunzekitu kutoka kwako hasa vijana wengi hatuamini katika ndoto zetu na kuhishibila malengo mwishowasiku kujikuta sehemu tusiyokua tumeihitaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.