Bei ni ileile mkuu 50k speed wameboresha kidogo ila kikomo cha bando bado ni 77gb+25gb zile za mwanzo baada ya hapo unapata mbps 2-3, ambayo sio mbaya kwa kulinganisha na bei.
Mwazo niliposoma kichwa cha habari niliona kana kwamba kimejawa na ukabila, lakini baada ya kusoma maelezo yote nimekuelewa, mkuu. Kuna jambo la kujifunza hapo.
Ok, nimekuelewa, ila sasa kwa matumizi yangu itakuwa ngumu kugundua ukomo wa hiyo speed ya 2Mbps. Kwa mimi, matumizi yangu hayazidi GB 400+ kwa mwezi, kwa hiyo sijawahi kugundua ukomo wa hiyo 2Mbps. Ila, kwa maelezo yao kutoka customer care kuwa hiyo 2Mbps ni unlimited, tatizo ni kwamba mara...
Halo shop ulipoenda wamekudanya ukweli ni kuwa toka tarehe moja wame weka sera mpya ambapo kikomo cha GB kimeshuka kutoka 350 hadi 100, na ukishamaliza hizo gb 100 tena wameshusha speed kutoka 3mbps hadi 0.512mbps kwaiyo kwa speed iyo hakuna kitu utaweza kufanya zaid ya browser.
Pia, Halotel...
NEW UPDATES: Halotel wamepunguza kikomo cha gbs kutoka Gb 350 hadi Gb 100 , baada ya kumaliza GB 100 hizo, kasi ya intaneti imepunguzwa kutoka 3Mbps hadi 0.4Mbps. , Kwa mabadiliko haya, kifurushi hiki kimepoteza sifa ya kuitwa "unlimited" kabisa na kwa wale waliokuwa wanatarajia kujiunga sasa...
Shida hiyo unaipata baada ya kuisha hizo gbs 25? , rudia kusoma hapo juu kuna kitu wanafanya speed throttling, yaani kuna limit ya jumla kwa mwezi na limit ya siku, ukifikisha kiwango cha mwisho kwa siku wanakushushia speed kwa siku iyo.
mimi nimeunga tena mwezi huu licha changamoto nilizoziona...
Uatumia kwenye router au simu kawaida? kukatika na kurudi kwa mtandao ni kweli na nishida ipo ata kwenye line zao za kawaida Halotel mtandao haupo stable, pia hapo nimesahau kuelezea speed ya UPLOAD nimeongelea Download tu, Bora umenikumbusha kuwa baada ya kama gb 100 hivi kuisha Upload huwa...
Mwisho la kuzingatia na ni muhimu kifurushi hicho hakina mkataba wowote unaoingia nao na kampuni husika, mfano wakati najisajili na huduma ya Tigo POSTPAID niliingia mkataba wa 2 year's moja ya faida ya mkataba huo ni kuwa terms za mkataba hazito badilika mpaka muda utakapo kwisha.
Kwaiyo...
Then, wanahichi kitu wanaita speed throttling , yaan ikitokea kwa siku moja umetumia gbs nyingi basi wanakulimit speed mpaka ipite hiyo siku then after 24 hour's wanakurefrsh unaanza upya tena.
Speed inashuka mpaka 3mbps to 15, depends na eneo & muda. Mfano kuanzia saa 12 jioni mpaka saa 5 usiku speed inachezea kati ya 3-7.
Ukifikisha gb 350 speed inashuka mpaka 500kbps to 3 Mbps hapo utaichukia internet.
Kifurushi hicho kinawafaa watu wenye matumizi ya kati wenye matumizi yasio...
kuhusu kifurushi cha Halotel M2M, huduma hii ina faida na hasara zake kulingana na aina ya matumizi yako. Kulingana na matumizi yangu kwa mwezi, hapa kuna maoni yangu:
1. Je ni unlimited kweli?
Kifurushi hiki sio "unlimited" kwa maana ya kupata internet bila kikomo kwa kasi ya juu kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.