Recent content by Benedicto mbubu

  1. B

    Je, kuna uwezekano wa kusoma Bachelor of science in Account and Finance ukiwa na Diploma ya HRM?

    Nimemaliza Diploma ya Human Resource Management nilikuwa naomba kufahamu. Je, kuna uwezekano wa mimi kusoma Bachelor of Science in Account and Finance? Au kozi gani nyingine nzuri ya uhasibu naweza kusoma?
  2. B

    Je, kuna uwezekano wa kusoma Bachelor of science in Account and Finance ukiwa na Diploma ya HRM?

    Naomba kufahamu hivi ukiwa na diploma ya human resource management kuna uwezekano wa kuapply bachelor of science in accounting and finance
Back
Top Bottom