Recent content by Benchmarker

  1. B

    Natafuta sehemu kujifunza kutengeneza Furniture

    Wakuu habari, Nahitaji sehemu kama workshop nikajifunza kutengeneza Furniture za kisasa. Kama kuna sehemu ama mtu ana ofisi nitafurahi nikajitolea. Ikiwa kuna malipo kidogo naweza kulipia nifikie lengo. Asanteni. Mawasiliano: 0759226857 Nipo Mbezi ya Kimara.
Back
Top Bottom