Recent content by benchecs

  1. B

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Ndo siasa zako siku zte jibu maswali mzee...s umeleta hoja...au hapo huon maswali Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
  2. B

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Leta n amri zipi zmebadlishwa...au kubadl unamaanisha mchanganuo wa lugha...leta amri ipi imebadl mfano biblia imesema usile wao wakaleta ule... Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
  3. B

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Umekuja vzr lkn unasahau kitu kimoja ni wap hapo upapa unapotokea kama pembe ndogo...ni mataifa gani yalianguka kupisha utawala wa papa hapo...ukumbuke hata kabla ya mwaka 476 upapa ulikuwepo na kabla ukristo haujawa dini ya rumi mwaka 330 mapapa walikuwepo na waliuliwa sana wakiifia...
  4. B

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Jibu hoja mkuu mbna maswal ya ajabu...au huon hata maswal yangu tena
  5. B

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Haya ukimaliza hyo aya ya kuhusu kahaba uje kwny aya hizi unambie n lin hao wafalme kum walfanya vita na mwanakondoo na uwataje hao wafalme kumi wny shaur moja na huyo mnyama waliyeshirikiana nae....ukishindwa nitakusaidia Revelation 17:12-14,16 [12]And the ten horns which thou sawest are ten...
  6. B

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Mm nijichanganye tena Revelation 17:16 [16]And the ten horns which thou sawest upon the beast, these shall hate the whore, and shall make her desolate and naked, and shall eat her flesh, and burn her with fire. Na zile pembe kumi ulizoziona, na huyo mnyama, hao watamchukia yule kahaba, nao...
  7. B

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Labda kwa faida yako tu na wengne iko hvi kanisa katoliki lko centralized na lna vyombo maalum vya kutolea taarifa...siku utakapoona kanisa lmeruhusu ushoga au kuona lnafungsha ushoga tanzania ujue n worldwide namm ntakua wa kwanza kutoka tutapishana mlangon
  8. B

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Mimi nnao uwezo wa kukuelezea huyo mnyama vichwa vyake saba na pembe kumi na nkavitaja kila kichwa hadi huyo mnyama wa pili na kahaba tokea kwny biblia had historia...ukinijibu ntaendelea kukufunulia kimoja baada ya kingine...mm ntatumia maswali tokea kwmy hoja zako kma nlvoanza kukuulza hapo...
  9. B

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Mbna nlkuulza toka kwny hoja zako hukunijibu labda nkuulize tena hapa katika ufunuo 17 wanasema zle pembe kumi(wafalme kumi) kulokotokea pembe ndogo ambayo ww waita ndo papa inasema watafanya vita na mwanamke kahaba na kumuacha uchi na kumteketeza kabsa...nkauliza je n lini papa alimshambulia...
  10. B

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Hahahahaha unakataa hadi maelezo yako
  11. B

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Ungejibu hoja zangu ndo ungekua na ujasiri wa kunambia nkae kimya nachokiona umefika ukomo wa ulichokalilishwa ss unarudia rudia tu maneno yako
  12. B

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Ungejibu hoja zangu ndo ungekua na ujasiri wa kunambia nkae kimya nachokiona umefika ukomo wa ulichokalilishwa ss unarudia rudia tu maneno yako
  13. B

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Unamfahamu mfalme Nimrod aliyekaa babeli na kuleta kuabudu miungu...au hujui kma ibada zte za miungu zlianzia babeli?au hujui Israeli yakaa ikizungukwa na mataifa ya babeli yaliyokua yakiabudu miungu...au hata upagan wa warumi na mashariki ya kati yte hujui ulitokea wap?au bx hujui hata miji...
  14. B

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Tizama ijumaa na jumamos nmekuachia maswal ya kuhusu pembe ndogo umeruka hujajibu unakuja kuchanganya watu tena
  15. B

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Ukisema karne ya 15 unamaanisha miaka ya 1400-1499 ss je marthin luther alikuepo kipin hiki au unataka kutudanganya pia...mna unajaribu kuleta kila unachoweza il kujarbu kuwin na hoja ishakukataa ss...maswal yngu hujbu unakimbia
Back
Top Bottom