Recent content by ben willy

  1. B

    JamiiForums Lowassa kuchukua fomu kugombea Urais kupitia CHADEMA - Alhamisi 30, 2015

    mtanzania amka acha ushabiki angalia how it is going to be at the end and how benefit is for our country.
  2. B

    JamiiForums Mtoto anakosa hamu ya kula

    axante kwa ushali kaka
  3. B

    JamiiForums Mtoto anakosa hamu ya kula

    asante sana kwa ushauli wako knombo
  4. B

    JamiiForums Mtoto anakosa hamu ya kula

    Naombeni ushauri kwa anae fahamu dawa ya kumfanya mtoto apate hamu ya kula. Mimi nina mtoto anaelekea miezi 9 sasa lakini kadri umri unavyoongezeka ndivyo anavyozidi kupunguza hamu ya kula chakula anataka kunyonya tu, ukimpa chakula lazima mkabane na kama ni uji anajikoholesha anautapika wote...
Back
Top Bottom