Recent content by Ben samwel

  1. B

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    😂😂Hapana bro chunguza vizuri wewe ndo umepoteza mda mwingi sana kutengeneza post ya KISHAMBA tena yenye HEADLINE ya kishamba kwa karne hii ya 21, FOREX NI AVIATOR GAME KWA ASILIMIA 100% alaf huna hata HOJA za msingi, mda ulio fikiria kuandika hii MADA bora ata ungelala tu, atleast ungepumzisha...
  2. B

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    Unawajua? Na umewafatilia kwa mda gan? Usiandike ka sentensi kamoja bila vithibitisho, THIBITISHA KAMA KUNA MALALAMIKO YA WATU WALIO KUA SCAMMED NA HAO WATU au HIO SCAMMING WANAIFANYAJE FANYAJE? alafu achana na hao wa nje ya nchi tu deal na wafanya forex wa TANZANIA kama AMRISALY, MLFOREX...
  3. B

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    Sasa blaza UTAONGELEAJE forex bila kuongelea CRYPTO kama Bitcoin na etherium ambazo ni Technolojia mpya za fedha, kama kweli unatambua kua forex ni soko la fedha UTAONGELEAJE forex bila kutaja stocks ambazo hisa ni kama mitaji ya makampuni tayar umeshagusa pesa UTAONGELEAJE forex bila kutaja...
  4. B

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    Hebu na wew soma iyo screenshot ya CHATGPT...maana naona betting imekuharibu akili, soma na conclusion vizuri!
  5. B

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    My Brother NASDAQ ipo marekani, new york. Kama una huo mtaji mzuri wa kwenda marekani kununua hisa za GOOGLE huko marekani basi SAFARI NJEMA, hao wanaomtumia Deriv wakiwa majumbani au makazini kwao ila wakiwa TZ wao pia waache wanunue hisa za NASDAQ kupitia kwa broker wao DERIV..NA deriv ni moja...
  6. B

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    Trading ni short term(ndani ya mda mfupi) kuwekeza ni long term(ndani ya mda mrefu) trader anakua investor kama atatumia faida zake anazopata kununua product ambazo zina uwezekano mkubwa wa kupanda bei miaka ya usoni kama sasa ivi unaweza kuwekeza kwenye dhahabu, bitcoin na baadhi ya hisa hasa...
  7. B

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    Kwahiyo trader sio investor? Ni trader na ni investor, unaona ni investor kwasababu yeye ni trader wa miaka mingi na amewekeza kwenye vitu ngine vingi ukiachana na masuala ya hisa. Yaaah..ni swala zuri pia
  8. B

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    Hahaha..Bro mbona mimi nakupa Fact zilizo nyooka kabisa, alaf ww unaleta ushabaki maandazi😂..ww kama uliishindwa kubali kwamba ww ndo ulishindwa na kushindwa sio aibu wala ujinga, na hata ukisema forex ni betting sishangai maana hata unachokisema huna vithibitisho vilivo nyooka kunishawishi...
  9. B

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    FOREX NA BETTING...ndug yang forex trading sio betting ijapo kua KUNA MSTARI MWEMBAMBA SANA UNAOTOFAUTISHA FOREX NA BETTING...watu wengi wanavamia forex wakijua ni kitu rahis tu ambacho mtu yoyote anaweza kufanya, ila kiukweli forex trading ni kama profession nyingine kama unavoona madaktari...
  10. B

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    Kama haya yote unayafaham bas umebakisha hatua chache kuielewa forex kidogo japo kiukwel hujaielewa...in forex hata ukiamua kufanya spot unaweza unaenda benk yoyote na dollar zako na kitambulisho cha nida wanakubadilishia hela unayotaka ndo maana katika kila benki kuna rate za kununua na kuuza...
  11. B

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    Na ukiongelea kuhusu hizo asilimia sjui hakuna anaeweza kutengeneza asilimia 1..pia unakosea hizo faida pia zinatengenezwa kulingana pia na mtu yupo tayar kupoteza kias gan (risk apetite) kwa watu wanaoweza kurisk pesa nyingi kwenye trade moja anaweza kutengeneza asilimia nyingi kwasababu ana...
  12. B

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    Cha Tatu fatilia mabrokers kampuni za mabroker zilizopo hapa nchini kwanza zote ni za wazungu ni makampuni ya miaka na miaka tena yenye heshima zao na yana thaman ya mabilion ya dola...fatilia brokers kama Tick mill, HFM, Exness, IC markets, na mengine mengi uone kama yana hadhi sawa na...
  13. B

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    Cha pili, wafatilie hao nilio wataja wote..maana hao wote ni watu wana shule zao za forex na wana wanafunzi wengi tu. Hao wote number uliowazidi ww labda ni followers wako wa jamii forum huku maana hao hawapo jamii forum, na kama ni scammers na ww jaribu ku scum kama hao angalau kwa mwezi mmoja...
  14. B

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    Unaposema hamna kitu kinachoitwa forex market cha kwanza UNAKOSEA forex ni soko kwasababu kwenye soko la forex sio pesa tu za kigeni kuna product nyingine nyingi watu wana trade online kwenye haya masoko kama hizo currencies, sarafu za kidigital kama Bitcoin, etherium, solana, watu wana trade...
  15. B

    Forex ni Aviator Game kwa 100%

    Mtoa post ametoa mawazo yake na uelewa wake kuhusu forex, na wala si mpingi kwa alichokisema kwasababu watu wengi duniani wana mitazamo tofauti tofauti kuhusu forex, kwa upande wangu forex ni soko kama masoko mengine, na wafanyabiashara kwenye masoko haya wanatengeneza faida na hasara kama ilivo...
Back
Top Bottom