Recent content by bemwana

  1. bemwana

    Naomba kazi inayoendana na computer

    Mimi ni msichana wa 22 yrs nipo dar tabata natafuta kazi ya receptionist, stationary, au yoyote inayoendana na computer. Asante
  2. bemwana

    Nahitaji kazi

    Asante
  3. bemwana

    Nahitaji kazi

    Ni kazi ipi lkn ni mbali Dah
  4. bemwana

    Nahitaji kazi

    Hello naishi dar tabata ni msichana wa miaka 22 natafuta kazi ya receptionist au stationary au yoyote inayohusiana na computer coz ńna cheti cha secretary. Hata kuuza duka nko tayari.
  5. bemwana

    Natafuta kazi ya saloon

    Ipo sehem gan
Back
Top Bottom