Recent content by Belovedson

  1. B

    JamiiForums Bodi ya Mikopo kupeleka mikopo chuoni bila kuwapa taarifa walengwa waombaji wa mikopo!

    Kumbe walikua wanajiridhisha na orodha ya uongo aisee!
  2. B

    JamiiForums Bodi ya Mikopo kupeleka mikopo chuoni bila kuwapa taarifa walengwa waombaji wa mikopo!

    Hakika ndugu labda kama mtu alikuwa anajitosheleza na anajiweza ila akavamia mikopo ya wasiojiweza lakin kama huna msaada wowote bodi inasaidia kwa kiwango kikubwa saana!
  3. B

    JamiiForums Bodi ya Mikopo kupeleka mikopo chuoni bila kuwapa taarifa walengwa waombaji wa mikopo!

    Hahahaha kuna muda ukimaliza deni lao watakuacha huru. Sasa kama huna uwezo wa kujilipia huwezi shukuru ndugu!
  4. B

    JamiiForums Bodi ya Mikopo kupeleka mikopo chuoni bila kuwapa taarifa walengwa waombaji wa mikopo!

    Daah! Sasa umuhimu wa kuweka zile data zote za nawasiliano kipindi cha uombaji mikopo uko wapi sasa?
  5. B

    JamiiForums Bodi ya Mikopo kupeleka mikopo chuoni bila kuwapa taarifa walengwa waombaji wa mikopo!

    Wapigie aisee maana kuna namba zao za msaada katika website yao!
  6. B

    JamiiForums Bodi ya Mikopo kupeleka mikopo chuoni bila kuwapa taarifa walengwa waombaji wa mikopo!

    Mwaka 2018/2019 helsb bodi ya mikopo elimu ya chuo kiku ilitoa taarifa kwa waombaji walio omba mikopo kwa awamu 5 tu za mwanzo katika tuvuti zao. Lakini awamu zilizofuata zilitumwa moja kwa moja katika chuo alichochaguliwa muombaji pasipo hata kutoa taarifa kwa mwombaji. Maana katika hatua...
Back
Top Bottom