Recent content by belldone

  1. B

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KIMAWAZO.

    Habar zenu wana jf mm nimtanzania naish South Africa, shida yangu kubwa naitaji kufahamu jins ya kufungua account bank, ya Visa bank sijawah milk akaunt yeyote...nafkilia kufungua account lakin sjui proses na pia naitaji kujua endapo nitafungua acount like VISA haitanipa usimbufu mda wakutoa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nashindwa kujibu comments

    Habar zenu wana jf, me nimgeni hapa naitaji msaada kidogo, mbona nashindwa kulplying coments? Naitaji mnielekeze ndugu zangu. #men
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mimi mgeni nahitaji msaada juu ya mahali hapa

    Salaam. Kama title inavyo onyesha juu hapo naitaji msaada wakutambua jinsi yakutumia JF, kuna baadh yavitu vinanishinda kama vifwaatavyo. 1-Kuweka picha profile 2-Kulply chat yamtu mwingne 3-Kutaka kuanzsha mada. Ndugu mwanajf naitaji maelekezo iri nam niweze kujumuika nakujurishana mambo...
Back
Top Bottom