Recent content by Bellami

  1. Bellami

    Wanawake wapambanaji wanahitajika

    Nina imani watakuwepo wa maeneo ya karibu.
  2. Bellami

    Wanawake wapambanaji wanahitajika

    Sawa mwambie awasiliane whatsap hiyo namba hapo juu.
  3. Bellami

    Wanawake wapambanaji wanahitajika

    Habari za mchana wana JF, ninatumai wazima na kwa wale wagonjwa Mungu awape afya njema kwa uwezo wake. Nipo hapa kutangaza nafasi za vijana wa kunisaidia kuuza juice mtaani. Ninataka wasichana umri kuanzia miaka 18 - 30, akiwa mkazi wa kuanzia Gongo la Mboto hadi Ilala itapendeza. Pia wa kiume...
  4. Bellami

    Chupa za chai nzuri hazipoozi

    Ahsanteni wateja wote mnaoendelea kunisupport karibuni wote 0752976792
  5. Bellami

    Dishdasha la harusi

    Karibuni wateja mwaweza nitext hata whatsap
  6. Bellami

    Dishdasha la harusi

    Nakumbuka siku moja nilikosa nguo ya kuvaa kwa harusi na nilialikwa kitambo na mchango nilitoa, siku yenyewe ya harusi ndio nikakumbuka kua kuna shughuli na muda haukua rafiki...basi nikajivalia dishdasha langu hili hapa na nilikua nikiulizwa na kila mtu umenunua wapi ???? Usiwe miongoni mwa hao...
  7. Bellami

    Chupa za chai nzuri hazipoozi

    Karibu sana Boss wangu 0752976792
  8. Bellami

    Chupa za chai nzuri hazipoozi

    Karibu mkuu
  9. Bellami

    Chupa za chai nzuri hazipoozi

    Ndio mkuu
  10. Bellami

    Kanzu nzuri kutoka Dubai za watoto kwa wakubwa

    Karibuni tupo Kinondon popote ulipo Tanzania tunakuletea , za wakubwa elf 70 za watoto elf 50. 0752976792
  11. Bellami

    Chupa za chai nzuri hazipoozi

    Kari karibu boss nipigie 0752976792
  12. Bellami

    Chupa za chai nzuri hazipoozi

    Hiyo sina kwa sasa ndugu karibu sana
  13. Bellami

    Chupa za chai nzuri hazipoozi

    Habari wana jamii, nakuletea chupa za chai nzuri zisizopooza uwekee chai, uji, mtori, kahawa, na kadhalika litre 1 elf 25, litre 1.8 elf 30 , litre 2 elf 35 na la litre 3 elf 45 kama zionekanavyo kwa picha karibuni sana wakuu. Dar es Salaam Kinondoni 0752976792 delivery ipo 😊.
Back
Top Bottom