Recent content by bekadula

  1. B

    JamiiForums Tanzania List ya transfer za degree mbali mbali

    Jamani Mimi jina langu kwenye list ya transfer halipo lakini nimeliona chuo nnachotaka kuhamia moja kwa moja msaada nifanyeje?
  2. B

    JamiiForums Tanzania List ya transfer za degree mbali mbali

    Nilienda chuo moja kwa moja wakanipa barua nikapeleka tcu na nikalipia 30000
  3. B

    JamiiForums Tanzania List ya transfer za degree mbali mbali

    Nit ndugu
  4. B

    JamiiForums Tanzania List ya transfer za degree mbali mbali

    Mimi jina langu nimeliona chuo nilichotaka kuhamia
  5. B

    JamiiForums Tanzania Transfer

    Duh kila siku wapeleka siku mbele tuuu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Transfer

    Assalaam alaykum jamani vipi kuhusu transfer mbona wametoa wa medical tu sisi wengine vipi mbona wametuacha kwenye mataa mwenye taarifa atupe
  7. B

    JamiiForums Tanzania Transfer TCU leo jioni

    Vipi mdau uliepo tcu hujapata majibu bado
  8. B

    JamiiForums Tanzania Transfer TCU leo jioni

    KwA nini mkuu unasema chance nnayo maana nna wasi wasi sana
  9. B

    JamiiForums Tanzania Transfer TCU leo jioni

    Sasa ndio nikauliza nimekubaliwa au ndio nipo kwenye hati hati msaada Wa Mawazo yenu nauhitaji please
  10. B

    JamiiForums Tanzania Transfer TCU leo jioni

    Mimi nilipitia chuo moja kwa moja wakanipa barua ya kunikubali wakanambia niipeleke tcu nilipofika mapokezi akanambia nikalipie bank 30000 kwanza ndio nkalipia akaziambatanisha zile form akapanda nazo juu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Transfer TCU leo jioni

    Waulize wale tuliokuwa tushalipa 30000 ndio tushapata au nasi tuna hati hati
  12. B

    JamiiForums Tanzania Transfer TCU leo jioni

    Fanya hivo kaka
  13. B

    JamiiForums Tanzania Transfer TCU leo jioni

    Kama bado upo tcu hebu jaribu kuwauliza
  14. B

    JamiiForums Tanzania Transfer TCU leo jioni

    Sasa na mkopo watatuhamishia kabisa au
  15. B

    JamiiForums Tanzania Transfer TCU leo jioni

    Ah tushawachoka na kalenda zao
Back
Top Bottom