Recent content by BeeLoveGee

  1. B

    Natafuta kazi ya Sales au Viwandani

    Elimu Kidato cha Sita nimemaliza Since 2021 sikufanikiwa kuendelea na elimu ya juu kutokana na hali ya wazee wangu nyumbani nikajishughulisha na mswala ya sales kwahiyo nipo apa kuomba au kutafuta kazi yenye itanifanya niweze kukizi majukumu angu iwe ssales supermarket dukani hotelini au hata...
  2. B

    Natafuta kazi ya Sales au Viwandani

    Nipo na Uzoefu wa Sales for 2 years Nanipo na utayri wa kujifunza pale itakapohitajika kuongeza ujuzi mwengine Nimemaliza kidato cha sita Mchepuo wa Economics sikufanikiwa kuendelea na chuo kutokana na hali za Wazee nyumbani nikajishughulisha na maswala ya sales
  3. B

    Natafuta kazi ya Sales au Viwandani

    Hello Ni Binti miaka 24 natafuta kazi ya sales au hata viwandani ku-oparate Nipo Dar
Back
Top Bottom