Recent content by Beca jr

  1. Beca jr

    Kuna aliyepata majibu baada ya kukata rufaa Bodi ya Mikopo?

    Kakosa apo si not successful,yani hawa jamaa ata sijui wanatia vigezo gani
  2. Beca jr

    Kuna aliyepata majibu baada ya kukata rufaa Bodi ya Mikopo?

    Bado hawajaweka bado ni waiting for result kwenye system
  3. Beca jr

    Wanafunzi wanaoendelea na masomo walioomba mkopo

    Habari, Nilikua naomba kuuliza, hivi ni lazima kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo ambao wameomba mkopo kupeleka majina yao chuo ili waweze kutumiwa matokeo yao bodi ya mkopo? Na kama mtu hajatuma matokeo yake anaweza kupata huo mkopo?
  4. Beca jr

    Msaada kwa anayejua kuhusu Third Batch ya mkopo wa HESLB

    Ni kuomba Mungu tu lakini batch zinakuwaga nyingi na muhimu kuwa mvumilivu tu, mwaka jana walitoa mpaka batch ya 8 na pia ukikosa unaweza ukaappeal na ukabahatisha kupata
  5. Beca jr

    Continous students walioomba mkopo

    Habari zenu,nilikua nauliza Kama kuna continous students waliokuwa wameomba mkopo mwaka huu na wamefanikiwa kupata katika batch ya kwanza?
  6. Beca jr

    Swali

    Tayari washaweka allocation
Back
Top Bottom