Recent content by Beatus Alex

  1. Beatus Alex

    Natafuta mdau/mwekezaji wa ku-support idea yangu ya biashara ya ukopeshaji, micro credit

    Mtaji ni kuanzia 20M. Semu za kupita ili uanze biashara ni Brela, BoT, Halmashauri, TRA
  2. Beatus Alex

    Natafuta mdau/mwekezaji wa ku-support idea yangu ya biashara ya ukopeshaji, micro credit

    20M na kuendelea Kaka, kwa biashara ya kuanza na yenye uhakika wa ku run profit ya uhakika.
  3. Beatus Alex

    Natafuta mdau/mwekezaji wa ku-support idea yangu ya biashara ya ukopeshaji, micro credit

    Pole Kaka, uende sehemu uliomo haikua rafiki na iyo biashara.
  4. Beatus Alex

    Natafuta mdau/mwekezaji wa ku-support idea yangu ya biashara ya ukopeshaji, micro credit

    Hakika Kaka, na uhakika wa 100% elimu sio ki kwanzo katika umiliki wa kampuni.
  5. Beatus Alex

    Natafuta mdau/mwekezaji wa ku-support idea yangu ya biashara ya ukopeshaji, micro credit

    Sawa kaka, mungu akijalia tutakutafuta [emoji16][emoji120]
  6. Beatus Alex

    Natafuta mdau/mwekezaji wa ku-support idea yangu ya biashara ya ukopeshaji, micro credit

    Nicheki tujuzane zaidi kuanzia uendeshaji paka faida zake. 0628667612
  7. Beatus Alex

    Natafuta mdau/mwekezaji wa ku-support idea yangu ya biashara ya ukopeshaji, micro credit

    Soma vizuri mkuu, sijataka kumiliki nimeitaji mwekezaji wa kusupport idea yangu, mmiliki anaweza kua mwingine tu kama mkurugenzi. Asante.
  8. Beatus Alex

    Natafuta mdau/mwekezaji wa ku-support idea yangu ya biashara ya ukopeshaji, micro credit

    Yes, ikibidi tuwe pamoja katika utendaji kazi kama mkurugenzi wangu.[emoji120]
  9. Beatus Alex

    Natafuta mdau/mwekezaji wa ku-support idea yangu ya biashara ya ukopeshaji, micro credit

    Asante Kaka, awekeze pesa au anikopesha mtaji coz kikubwa ni pesa ya ku run iyo biashara mkuu.
Back
Top Bottom