Ni kitu cha kawaida mbona ; mimi nina mda mredu sana sijatongozwa lakini naona poa tuu hainiumizi akili..maybe because am very beautiful ndo maana:lol::lol:
Mimi ni member wa JF na ni mmachame .sijawahi kucomment chochote katika forum hii; ila kwa hili nimeona niongee.Kama nilivosema ni mmachame na wanawake wamachame ni wanawake kama wanawake wengine .Sijui kwa nini watu wanapenda kuwasema vibaya kwamba wana roho mbaya , mara wakatili , sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.