Recent content by Beah

  1. Beah

    Plot4Sale Nunua kiwanja chenye pagale Madale Flamingo sasa kwa bei ya milioni 40

    Ikifika 10m nitakushtua mkuu. Worry out.
  2. Beah

    Plot4Sale Nunua kiwanja chenye pagale Madale Flamingo sasa kwa bei ya milioni 40

    Nikukumbushe kitu kimoja hapo ni madale si mbagala mkuu.
  3. Beah

    Plot4Sale Nunua kiwanja chenye pagale Madale Flamingo sasa kwa bei ya milioni 40

    Wakuu bei imeshuka kwa sasa unaweza kuja kulipia Milioni 35 badala ya Milioni 40. Karibuni sana kiwanja hakina mgogoro wowote.
  4. Beah

    Plot4Sale Nunua kiwanja chenye pagale Madale Flamingo sasa kwa bei ya milioni 40

    NUNUA KIWANJA CHENYE PAGALE MADALE FLAMINGO SASA KWA BEI YA MILIONI 40 MAZUNGUMZO YAPO KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI. WAHI KABLA HAKIJAWAHIWA ●Kiwanja pamoja na nyumba kimepimwa ukubwa Sqm 800 ●Huduma za kijamii zote zipo karibu SIFA ZA PAGALE ●Vyumba 3 viwili ni self kimoja normal ●Jiko...
  5. Beah

    Natafuta pikipiki aina ya Yamaha DT 125

    Okay shukrani sana mkuu.
  6. Beah

    Natafuta pikipiki aina ya Yamaha DT 125

    Natafuta pikipiki aina ya Yamaha DT 125 ya kununua iliyonyooka iwe na documents zote kama unayo piga hapa 0752883171.
  7. Beah

    INAUZWA Mbuzi wakubwa na kondoo wanauzwa kwa bei nafuu weka oda yako tukufikishie ulipo

    Wewe ambae sio tapeli tuone mbuzi wako unaouza.
  8. Beah

    INAUZWA Mbuzi wakubwa na kondoo wanauzwa kwa bei nafuu weka oda yako tukufikishie ulipo

    Mbuzi wapo wa ukubwa tofauti na kila siku tunashusha mzigo mpya fika shamba uweze kujua bei. Karibuni sana
  9. Beah

    INAUZWA Mbuzi wakubwa na kondoo wanauzwa kwa bei nafuu weka oda yako tukufikishie ulipo

    Ufahamu na uelewa kwa watu unatofautiana sana.
  10. Beah

    INAUZWA Mbuzi wakubwa na kondoo wanauzwa kwa bei nafuu weka oda yako tukufikishie ulipo

    Pia naweza kukupa bure kama utafikia vigezo.
  11. Beah

    INAUZWA Mbuzi wakubwa na kondoo wanauzwa kwa bei nafuu weka oda yako tukufikishie ulipo

    Sijaweka bei wakuu labda kama nyie moo na bei zenu vichwani.
Back
Top Bottom