Recent content by BDN

  1. BDN

    JamiiForums Tanzania Nawashauri Simba iachane na kipa Ayoub Lakred, kijana Salim Ally, Manula na Abel wanatosha kabisa

    Ungesema aachwe Aishi Manula ningekuelewa kidogo
  2. BDN

    JamiiForums Tanzania EDO: Kama Simba walihujumiwa kwanini wamemfukuza kocha?

    Ndio, Yanga haina ubora huo wa kutufunga goli 5 magoli yenyewe ni mepesi sana.
  3. BDN

    JamiiForums Tanzania EDO: Kama Simba walihujumiwa kwanini wamemfukuza kocha?

    Edo mlevi tu huyo
  4. BDN

    JamiiForums Tanzania Huu ni muda wa Yanga kuifunga Simba mdomo

    Hii Haikuhusu
  5. BDN

    JamiiForums Tanzania Brazil kama Yanga vile huko Qatar

    Yanga ipi hihiiiii iliyopo kwa maloosers au kuna nyingine
  6. BDN

    JamiiForums Tanzania Juma Mgunda atakuwa mbuzi wa kafara

    Toka lini utopolo akaitakia mema Simba
  7. BDN

    JamiiForums Tanzania Mara nyingine tena timu zetu za Afrika zinaenda kutuangusha Kombe la Dunia

    Kuna mbili kidogo labda zinaweza kuvuka hatua 16 bora Morroco na Cameroon
  8. BDN

    JamiiForums Tanzania Yanga yatanguliza mashushu Sudan, mmoja kati ya walioenda ni Mwakalebela

    Hata wangeenda mashushu kumi, kufungwa ni pale pale, ukishindwa kufunga uwanja wa nyumbani kwenda kufunga ugenini huwa ni bahati ambayo huwa haiji mara 2 mlipata ya kwanza kwa Township Roles, Round hii mtapigwa kama ngoma.
  9. BDN

    JamiiForums Tanzania EPL wamwangazie Feitoto

    Aonyeshe kiwango kwenye timu ya Taifa au mechi za kimataifa hii ndondo nani aifuatilia zaidi ya sisi W Watanzania
  10. BDN

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa Jezi mpya za yanga zavuja kabla uzinduzi

    Kama ni kweli ni mbaya kwa kweli, designer mpya kazingua
  11. BDN

    JamiiForums Tanzania Haji Manara: Mimi bado ni Msemaji wa Yanga, Hukumu ilikuwa ni ya kuchafua brand yangu, adai Rais Karia alitoa maneno machafu

    Anatafuta huruma uraiani, hayo maelezo angepeleka kwenye kamati kule
  12. BDN

    JamiiForums Tanzania Naangalia mpira hapa Alahly vs es setif. Hizi timu za hapa Tanzania zina safari ndefu sana ya kufikia hizi level za wenzetu CAF Champion League

    Sema Utopolo ndo wana safari ndefu maana hata makundi hawafiki.
  13. BDN

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kusajiri na kuchezesha wachezaji wa kigeni 10 imekaaje?

    Wanatakiwa kupambana kuonyesha kiwango, ili kocha awape nafasi uwezi kumpa nafasi eti sababu mzawa wakati uwezo mdogo.
Back
Top Bottom