Recent content by bbiswalo

  1. B

    Upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania

    Na karibuni Mbogo sasa wataanza kuuza Boer ambao wamewazalisha wenyewe hapa Tanzania. Hii itasaidia sana wafugaji ambao hawana uwezo wa kwenda South Afrika kuleta hawa mbuzi. Na tayari wameshaanza kuuza mbuzi chotara wa kienyeji na Boer.
  2. B

    Upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania

    Video kama title yake inavyosema ni kuhusu upatikana wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania na sio upatikanaji wa mbuzi South Afrika. Pale watu watakapotaka kujua process ya kuagiza mbuzi South Afrika watapewa hayo maelezo wakiyaomba. Si rahisi kukidhi mahitaji ya kila mtu kwenye video moka...
  3. B

    Upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania

    Nimekuwa nikipata maswali mengi kutoka kwa wadau wa ufugaji mbuzi ambao wanaotaka kujua kuhusu upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania. Ili kujibu swali hili nimetengeneza video ambayo inatoa taarifa ya kutosha kuhusu upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania . Hebu angalia video...
Back
Top Bottom