Aisee nimependa Sana uchambuzi wako na udadisi wako ktk biashara ya forex.
Lakini na Mimi pia Nina idea ninayoina inaweza kufanya kazi kwa trader yeyote
1. Kwenye Forex unaweza kuwa na Setup ile ile ya Jana ukaingia Kama Jana lakini Jana ikakupa pesa kesho ikakaunyima pesa vizuri tu.
2...
forex ni biashara nzuri na rahisi sana ambayo kupata pesa kupitia hio biashara ni ngumu sana embu ngoja nitoe mchanganuo wa jinsi biashara ilivyo yani uzuri wake, urahisi na ugumu wake wa kupata pesa:
A.uzuri wa forex:
1. hauitaji mtaji mkubwa saana
2.haikuitaji kuajiri watu
3. haikuitaji kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.