Recent content by batalion

  1. B

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole hajamshitua mtu yeyote, amejitekenya na kucheka mwenyewe

    Hiyo ni dhamira utashi na haki yake usimhukumu kwa lolote. Wewe endelea na maisha yako na yeye na masha yake
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sikiliza ujumbe mahsusi kwa Rais samia na IGP Wambura

    Wewe mjinga sana. Una maana nchi hii ni ya mwanasiasa peke yao?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge Gambo mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto

    Wote ni wapuuzi. Waache wamalizane
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ruto asema uchumi wa Tanzania na Uganda hauna hadhi, duni na unaouza bidhaa nje bila ushuru

    Bila polisi huyo wa kwetu nani anamtaka?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu yapata nafasi Al-Jazeera

    Wevening usawa huyo kiajuza chenu round ya kwanza chsli. Msijifije nyuma ya policcm muone cha mtema kuni.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Alichoandika MwanaHistoria Mohamed Said, Baada Tamko La Askofu Rais Wa TEC

    Kitu kimoja kati ya vingi alivyoviandika ni wakati wa mkutano aliohutubia na watu wengi waliohudhuria hawakubuguziwa na polisi wa kikoloni. Lakini kwa sasa polisi wa kiafrika katika taifa huru la kiafrika polisi wanawanyanyasa raia wao mwenyewe. SHAME ON YOU RAIS NA VYOMBO VYA DOLA.
  7. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Martin Maranja Masese: Tumefika gereza la Ukonga, Tundu Lissu yupo salama

    Mbona umesahau UUAJI, UTEKAJI Umesahau UUAJI NA UTEKAJI NA UWIZI
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wenzetu wanajadili Vita ya Uchumi duniani Watanzania tunamjadili Tundu Lisu usiku na mchana, aliyewarogeni kafa!

    Wewe vipi? Kama unaona kuna umuhimu wa kujadili uchumi kwani kuna mtu kakuzuia? Wewe jadili uchumi sisi tunamjadili Lissu. No REFORMS NO ELECTION basi.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Dkt Slaa ni Muongo aliyekubuhu na Mchonganishi. Watanzania Mpuuzeni

    Hivi na wewe unajiona ni binadamu wa kusikilizwa kweli? Hata huko unako shabikia wamekupuuza na kukutupa kama toilet paper
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kama Tundu Lissu anasema haogopi kufa ilikuwaje hadi akamkimbia Magufuli? Jeła sio kuzuri tusidanganyane

    Acha ujinga. Hakumkimbia bali aliondoka hapa Tanzania akiwa mahututi yaani alikuwa hana utambuzi na ufahamu wowote wa akili. Alikimbizwa na wasamalia wema ili kuokoa maisha yake. Muuaji alikuja kuuwawa na COVID. Sasa ni mifupa. No reforms. No election.
  11. B

    JamiiForums Tanzania John Mnyika awajibu kisheria wanaohoji kuhusu CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili ya uchaguzi 2025

    Kwa hiyo sio tume huru iliyoamua kumbe ni mafisiemu! Similitude.
Back
Top Bottom