Unaweza soma kozi ngazi ya degree au diploma, kutegemeana na uwepo wa nafasi cha kufanya jiandae kutuma maombi mara baada ya muda muafaka kufika.nadhani ni baada ya kutangazwa kwa matokeo ya kidato cha sita mwaka huu.
maombi hufanyika kwa njia ya mtandao kupitia tovuti hizi...
Wana JF mimi ni muhitimu wa kidato cha nne.mwaka huu nilituma maombi wizarani ya ualimu ngazi ya cheti kwa bahati nzuri nimechaguliwa chuo cha ualimu Tabora. Sasa tatizo ni kwamba joining instruction ya chuo hiki iliyopo mtandaoni inaonyesha mafunzo ya ualimu ngazi ya stashahada na mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.