Nimezaa na mdada ambaye kiukweli ckuwa na wala cna malengo naye kimaisha, cwezi sema ni bahati mbaya no! Ila nihali ambayo unapofanya ni kama hujitambui vile.ishu nikwamba naishi mbali na mchumba wangu kwa sa7bu ambazo ziko nje ya uwezo, mi nafanyakazi sehemu nyingine na yy ansoma sehm nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.