Recent content by basheer

  1. basheer

    Kauli ya Mwenyekiti wa CCM iko wazi, akirudi kutumia Jukwaa la kanisa kuendelea na fitina zake hilo kanisa Wizara ya Mambo ya Ndani ilifungie

    The Big Show kwahiyo unaona ni Sawa watu kutekwa na kupotezwa? Kwanini watu wasijibu hoja zake badala ya kumjadili yeye binafsi
  2. basheer

    Wapinzani wangeliungana na Hayati Magufuli hakika tungelikuwa tushapata Tanzania Mpya, tatizo ni maslahi binafsi

    Mbona awamu ya magufuli ndio wapinzani wengi waliunga juhudi?
  3. basheer

    Napinga wafuasi wa CHADEMA kupanda treni ya SGR

    Toast ushahidi wametukana lini
  4. basheer

    Baada ya Afrika Kusini, Tanzania ni destination ya pili ya wahamiaji haramu Afrika?

    Unamuitaje muafrika mwenzako muhamiaji Haramu? Kuna watanzania kibao wapo nje na wengi wamedanganya mpaka uraia wao ili waweze kuishi tena huko South Africa ulipotolea ndio wengi sana hawana hata vitambulisho. Africa ni moja kaka
  5. basheer

    Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa!

    Mbona laliga wanaweka mpaka bendera ya Ukraine [emoji1255]
  6. basheer

    Tanzania ya Magufuli ilikuwa ya Viwanda. Je, Tanzania ya Mama ni ya nini?

    Tutajie viwanda gani vilijengwa kipindi chake au ndio cherehani 3 kiwanda
  7. basheer

    Mbowe: Hata wa serikalini hawaukubali mkataba wa DPW

    Kwani Katiba ni ya chadema peke yao au ya wananchi wote
  8. basheer

    Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

    Uraia haumundolei mtu asili yake ndio maana kuna watanzania wenye asili ya Asia
  9. basheer

    Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

    Sidhani kama Jina la mtu ndio linahalalisha uraia wake, navyojua mimi Kasavubu kwa ni kigoma amewahi kuwa mwalimu wa secondary ya Mlole kigoma kabla hajajiendeleza kielimu udsm, pia amewahi kuwa coach wa soccer pia mwamuzi wa soccer
  10. basheer

    Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

    Aliejitangazia uhuru wa jimbo la katanga alikuwa Tchombe Bali kasavubu alikuwa Rais wa kwanza wa [emoji1078]
  11. basheer

    Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

    Mtaje kiongozi wa chadema aliesema hayo maneno
  12. basheer

    Hivi Serikali ya Tanzania imeshindwa kukaa meza moja na Ethiopia kujadili wapita njia (wahamihaji haramu) wanaopita hapa nchini?

    Sio vizuri kumuita muafrica mwenzako muhamiaji haramu Africa ni moja
  13. basheer

    Juhudi zipi za kidiplomasia zilitumika kuizuia vita ya Kagera?

    Hakuna ushahidi katika hili waulize waganda watakuambia sio kweli
Back
Top Bottom