Binti Masanja!
Hakika nimefurahishwa na ujasiri wako, lakini kabla sijamba cho chote ninahitaji ufafanuzi wa haya yafuatayo;
1. Je, wewe ni muumini?
2. Je, kwa imani yako ukotayari kujiweka mbali na kumshirikisha Muumba na chochote?
3. Je, unaweza kujiweka mbali na tabia zitakazo weza...