Recent content by Barua kutoka bangui

  1. B

    Nataka kujua ni jinsi gani ya kutengeneza pilipili kama zile wanazotumia wauza chipsi

    Kuweka kitu kwenye blenda na kusaga, mfano maembe yanavyosagwa kwenye blenda ili kupata juice ya embe.
  2. B

    Nataka kujua ni jinsi gani ya kutengeneza pilipili kama zile wanazotumia wauza chipsi

    Je ukisha blend haufanyi kitu kingine zaidi ya kuzipaki kwenye chombo husika?
  3. B

    Nataka kujua ni jinsi gani ya kutengeneza pilipili kama zile wanazotumia wauza chipsi

    Pilipili ya kupikwa, most of the time zinakuwa za njano na Dar zinatumika sana ila uwekwa kwenye makopo ya chill.
  4. B

    Nataka kujua ni jinsi gani ya kutengeneza pilipili kama zile wanazotumia wauza chipsi

    Jamani nataka kujua ni jinsi gan ya kutengeneza pilipili kama zile wanazotumia wauza chipsi wa Dar es Salaam na zinakaa kwa muda gani, nimeuliza sana ila sijapata jibu naamini leo nitapata majibu humu JF. Karibuni kwa maujuzi.
Back
Top Bottom