Hello wana-Bagamoyo, nimefurahi kuungana nanyi. Mimi ni mmoja wa waanzilishi wa Basesco (tulivyokuwa tunaiita) tuliomaliza 1975. Post ya Vivax hapo juu ya Dec 2016 imenikumbusha majina. Sijui kama mnafahamu kuwa huyo Audax Nkoko mpaka mara ya mwisho nakutana naye kama miaka 10 iliyopita alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.