Naitwa Barnabas Jacob Nyerembe. Natafuta mtu tunae weza kushirikiana katika shughuli za kilimo cha mazao mbali mbali.
Nina Shamba lenye ukubwa wa Ekari 10 lipo kandokando ya ziwa Victoria pia liko kandokando mwa barabara kuu ya Mwanza - Bukoba katika wilaya ya Chato, Mkoa wa Geita, Kijiji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.