Recent content by BARIDI BARAFU

  1. B

    JamiiForums Tanzania Sijawai kuelewa mfumo unaotumika kuamua Pasaka kuwa mwezi Machi au Aprili?

    Pasaka inategemea na kalenda ya kanisa katoliki. Yani kuna sikukuu lazima zikamilike zote kwenye kila mwaka, sasa hizo sikukukuu haziko fixed in terms of tarehe bali ni kutimia kwa siku kadhaa. Mfano, sherehe ya ubatizo wa bwana lazima iwe the next Sunday after x-mas so let's say tar 25...
  2. B

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Uchafu Zanzibar, mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini Jang'ombe - Shehia ya Kidongo Chekundu

    Zanzibar yote ni chafuuuu, huna haja ya kutaja mkoa. Yani kale kakisiwa watu wake hawana kinyaa kabisa. Kwa mnaoendaga mahotelini mnaweza msilijue hili. Ila huko mitaani kumeozaa na sio issue ya serikali, watu wake ni wachafuuu
Back
Top Bottom