Recent content by barbaraspark

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Mafia tushaamua, hatumtaki Bulji

    wewe una elekea sio mmafia... unawatia chumvi watu wapate kughadhibika lakini hauna imani na watu wa mafia.. kila mtu hapa anataka anngalie masilahi yake tu.. bulji anaangalia masilahi ya watu wake.. inafikia kipindi nyumbani kwake kuna kuwa hakuna chakula na familia yake ina suffer.. watu kama...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Mafia tushaamua, hatumtaki Bulji

    hakuna mtu mwenye akili mbovu... sisi wa mafia ni binadamu kama nyinyi... kama nyinyi mnajiona bora kwa kutuita sisi wapumbavu basi nyinyi ndio inabidi muchunguzwe akili zenu.. kura haziombwi kwa kutukana.. tunayaona na baada ya hapo tunayafanyia maamuzi.. hatutaki chama, tunamtaka mtu ambaye...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Mafia tushaamua, hatumtaki Bulji

    fuatilia ujionee majibu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Mafia tushaamua, hatumtaki Bulji

    acha uongo na fuatilia ukweli.. unafki kama huu ndio unatuharibia maendeleo
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Mafia tushaamua, hatumtaki Bulji

    As Salaam Aleykum, Ninachowaomba nyinyi wote mlioongea kwa kiswahili na wale wanaojidai kuwachanganya watu wengine na kiingereza kibovu.. Mnatakiwa kum tathmini mtu kwa kazi anazozifanya.. Kimbau alikuwepo miaka 25 alifanya nini? je mnajua kuwa ndani ya miaka 11 hii ya bulji madaliko aliyoya...
Back
Top Bottom