Zoezi la uendeshaji wa Mitihani ya taaluma kwa wafamasia, fundi dawa sanifu, fundi dawa wasaidizi na watoa dawa likiendelea kwenye vituo vilivyopo katika Mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya, Dodoma na Arusha. Mitihani hii ilianza tarehe 09 Julai 2025 na itamalizika tarehe 11 Julai, 2025.
Taarifa ya Vituo vya kufanyia Mitihani ya Taaluma
Baraza la Famasi linapenda kuwatangazia wahitimu wote wa kozi za famasi waliowasilisha maombi ya kufanya mitihani ya usajili na ya taaluma kuwa, mitihani hiyo imepangwa kufanyika tarehe 09 – 11 Julai, 2025 kuanzia Saa 02:00 asubuhi kwa utaratibu...
Maadhimisho ya Wiki ya Famasi Tanzania yameanza rasmi kuanzia tarehe 10 hadi 16 Juni, 2025, yakiwa na kaulimbiu isemayo: "Mfamasia kiini cha afya kwa wote, ubunifu, uwekezaji na afya jumuishi kwa wote chini ya uongozi wa mabadiliko."
Wiki hii ilitengwa mahususi kwa lengo la kuongeza uelewa kwa umma kuhusu nafasi muhimu ambayo taaluma ya famasi inachukua katika kulinda afya ya jamii.
AT
Orodha ya vyuo vilivyosajiliwa inapatikana kwenye tovuti ya NACTVET The National Council for Technical and Vocational Education and Training (NACTVET) | Striving for world-class excellence in Technical and Vocational Education and Training na Baraza La Famasi PC | Home . Ukifungua tovuti ya...
Tutaendelea kutoa elimu kwa wananchi kupitia njia mbalimbali ikiwemo kuwatembelea, redio, vituo vya runinga, mitandao ya kijamii, na magazeti.
Ahsante
TM
Wananchi wa Wilaya ya Babati, mkoani Manyara tarehe 08 Mei, 2025 wametembelewa na Baraza la Famasi pamoja na Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma, Wizara ya Afya.
Ufahamu kuhusu Baraza la Famasi na elimu juu ya matumizi sahihi ya dawa ulitolewa kwa wananchi wa maeneo ya Hospitali ya Mji Babati...
Baraza la Famasi kwa kushirikiana na Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma, Wizara ya Afya limeendelea na zoezi la kuelimisha umma kuhusu kazi na majukumu ya Baraza pamoja na kuhamasisha jamii juu ya matumizi sahihi ya dawa.
Kampeni hii iliyoanza juzi, imeendelea tarehe 06 Mei, 2025 katika Mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.