Kwanza inabidi kujua ni kipato gani kinachotozwa kodi. Ni ile faida iliyitokana na shughuli fulani ya uzalishaji na ndipo utapochukua incone generated utoe na gharama za uzalishahi wa lile pato ndio upate ni kodi kiasi gani inabidi huyu mtu atozwe, je fungu la kumi limetokana na shughuli gani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.