Recent content by Baraka Selemani

  1. B

    Wafanyakazi NSSF tumejiroga wenyewe

    Kuna mtu kanitonya
  2. B

    Wafanyakazi NSSF tumejiroga wenyewe

    Mmemtaja Brother K. Yule anaitwa Kabuyenze Kirondera. Huyu jamaa alihamishiwa huku RITA akitokea NSSF. Huyu jamaa amekuja kuripoti akiwa amebeba kiti chake ambacho kinafanana na viti vya wafalme wa kale. Kuna ktu kanitonya kuwa huwa amekuwa na tabia ya kuhama na hicho kiti kila anakokwenda...
  3. B

    NSSF si shamba la bibi tena

    Nimesoma maandiko mengi kuhusu uongozi wa NSSF uliopo sasa chini ya Bwana Erio ambaye wengine wanalibananga jina lake kwa kumgeuza mchaga na kumwita Urio. Usifikiri kuwa wanakosea, la hasha, wanafanya makusudi ili waonekane kuwa hawalijui jina lake. Wengine wao ni watu wake wa karibu ambao...
Back
Top Bottom