Recent content by baraka mas

  1. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    jamani kwema humu nawatakieni usahili mwema mkawande utumishi hadi washangae
  2. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kila mwajiri ana taratibu zake mwingne baada ya siku 14 kazi unaanza wengine hata Miez 6 inategemea uhitaji na taasisi mfano kuna taasisi hadi ufike makao makuu ndo wakupangie wapi utaenda Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  3. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sikilizia waya mkuu Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  4. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Poapoa mkuu mi nahisi wote ni wa pale pale vp ushapewa pf namba Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  5. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Bado Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  6. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Vp usharipoti kazini mtumishi mwenzangu[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  7. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu hamna hata simu ukiripoti huondoki unasubiri wenzio wote mnafanyiwa training hadi saiv tunaingia kiukweli siku sio nying make hadi tarehe unaambiwa ya kuanza so ukiripoti ndo umefika Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  8. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu kwema soon ntaingia mzigoni ila humu sintokosa hata DK 15 za kupitia pitia Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
  9. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    usingizi hupati hadi siku ya barua kaka
  10. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    HONGERA MWIFA nilikuambia andaa suti ya kwenda kuchukulia barua umetusua hongera hongeraaaaaaaaaaaa mwaka huuuuuu mungu katuona tukawe watumishi wema kwa utumishi uliotukuka
  11. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nawatakieni maandalizi mema
  12. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Na wale nilifanya nao usahili wawili niliwauliza wakasema wana not selected for null pdf kutoka chali wengine sijafanikiwa kuwasiliana ila kila anayepata ushuhuda wa status ni huo nilotoa
  13. B

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Bora uangalie ujue umekandwa kuliko usiangalie halafu utegemee pdf ikitoka utakuwepo ukakosa hayo maumivu yake sio poa ila kiukweli not selected for null ni ngumu kupata sijawah kusikia
Back
Top Bottom