Ndugu zangu wana JF mimi ni mwanachuo mwaka wa pili hapa dsm ninapenda sana kufanya biashara lakini nabanwa na mda sana nitumie fursa hii kuwaomba ndugu zangu mchango wa mawazo ni kitu gani ninaweza kufanya na bado nikaendelea na masomo yangu ninao mtaji wa laki saba 700,000/= tafadhali msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.