Recent content by Barajuka

  1. B

    JamiiForums Tanzania Biashara inayomfaa mwanachuo anayesoma Doctor of Medicine(MD) ni ipi?

    WAKUU!,mm n mwanafunzi ninayesoma udaktari wa tiba(MD),nipo mwaka wa kwanza sasa nafikiria ninaweza kufanya biashara gani kwa mtaji wa Tshs.500,000 nikiwa chuoni ili niweze kujikimu kimaisha huku nikiendelea kusoma kozi yang ya udaktari.Naombeni ushauri wenu
Back
Top Bottom