Binadamu hufikiri kuwa maisha huanza pale anapozaliwa, na hufa pale pumzi inapotoweka. Lakini mtazamo huu ni mwembamba. Kwa sababu, je, tungeuliza: ni kwa nini mtoto anapozaliwa hulia? Haoni, hasikii, hajui jina lake—lakini ana hofu, huzuni au hamu ya kujificha kwenye kifua cha mama. Hisia hizi...