Habarini ndugu,
Nilikuwa naomba usharudi wa utaratibu unaohitajika kufungua duka na kuuza pombe kali Dodoma mjini. Ningependa niwe nauza jumla na rejareja. Natakiwa nianze wapi kama eneo tayari ninalo(urban area) ambapo kuna mzunguko wa watu na pub.
Nina mtaji wa 20m
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.