Recent content by BANGO JEUPE

  1. BANGO JEUPE

    Nahitaji Kati Ya Gari Hizi Ndogo Bajeti Mil 3

    Nawe umeona mkuu yaani funcago na hiyo sienta Zimekaa kimkakati
  2. BANGO JEUPE

    Nahitaji Kati Ya Gari Hizi Ndogo Bajeti Mil 3

    Asante mkuu brevis itaua mtaji
  3. BANGO JEUPE

    Nahitaji Kati Ya Gari Hizi Ndogo Bajeti Mil 3

    Asante mkuu najichanga ifike 5 nichukue raum old au Clavia
  4. BANGO JEUPE

    Nahitaji Kati Ya Gari Hizi Ndogo Bajeti Mil 3

    Dah nyama za Mil 3 mkuu si useme tu nikanunue ng'ombe
  5. BANGO JEUPE

    Nahitaji Kati Ya Gari Hizi Ndogo Bajeti Mil 3

    wakuu ushauri wenu naizingatia ngoja niongeze hela hii ifike mil 5 nivute chuma nimechoka vumbi na hili jua hadi mwili una rangi mbili
  6. BANGO JEUPE

    Nahitaji Kati Ya Gari Hizi Ndogo Bajeti Mil 3

    a sihitaji toyo mkuu
  7. BANGO JEUPE

    Nahitaji Kati Ya Gari Hizi Ndogo Bajeti Mil 3

    Asante mkuu ushauri mzuri Ngoja nisubiri kidogo wadau wengine
  8. BANGO JEUPE

    Nahitaji Kati Ya Gari Hizi Ndogo Bajeti Mil 3

    habarini Wakuu Niko Dar, Nina Mil 3 Hapa Nataka Kati Ya Gari Hizi Starlet, Corolla Fe, Clavia Au Sprinter Asanteni
  9. BANGO JEUPE

    Nauza Wifi Bulb Camera

    Camera bado zipo wakuu
  10. BANGO JEUPE

    Kwa bajeti ya Tsh. 300,000/- naweza kununua simu gani nzuri mpya au used?

    Authorized dealer Wa pixel nawapataje mkuu
  11. BANGO JEUPE

    Naomba Ushauri Matumizi Mashine Ya Kufulia

    Hiyo imani ya kimaskini achana nayo
  12. BANGO JEUPE

    Naomba Ushauri Matumizi Mashine Ya Kufulia

    Wazee tununue mashine ya Kufulia wake zetu wasiishi kama watumwa..... yaani zimefuliwa na kukamuliwa nguo kibao kwa umeme wa 0.13, hata unit 1 hazijafika yaani Tsh 200 haijafika maisha ya kitajiri sio lazima uwe na mapesa kama bahresa
  13. BANGO JEUPE

    Naomba Ushauri Matumizi Mashine Ya Kufulia

    Naona front-loader ina muonekano wa mauzo vipi Manual Kuna front-loader
Back
Top Bottom