Recent content by Bana likasi

  1. Bana likasi

    JamiiForums Tanzania Mr. Paul Makonda, kama Rais hajakuachia hata mlinzi mmoja akulinde, basi teuzi utazisikia kwenye Tv tu

    Ndumba zikiexpire ndipo albadili uanza kazi
  2. Bana likasi

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea kwa Mzee Mkapa kisitokee kwa kiongozi mwingine

    Viongozi
  3. Bana likasi

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa usafiri wa ndege tunajuta kwanini Serikali imenunua ndege zake

    Sio kwenye mfumo huu wa kikomunisti
  4. Bana likasi

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa usafiri wa ndege tunajuta kwanini Serikali imenunua ndege zake

    Ni sera za ujamaa na kikomunisti ndivo zilivyo lengo kuu watu wasimiliki pesa ili iwe rahisi kuwasomesha namba ili waweze kutawaliwa.
  5. Bana likasi

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa usafiri wa ndege tunajuta kwanini Serikali imenunua ndege zake

    Ndivo itakavokuwa nauli ya SGR Kama itakamilika.
  6. Bana likasi

    JamiiForums Tanzania Kwa Jinsi Rais Magufuli alivyotangaza mambo ambayo Mkapa alifanya naona kila kitu cha maana leo yeye ndio alianzisha

    Mkapa alileta maendeleo ya watu ndio msingi wa maendeleo, aliweka vipaumbele kuboresha maisha ya watu. Maendeleo ya vitu uleta umasikini Mkubwa sana kwenye nchi hata kupelekea nchi kufilisika kabisa.
  7. Bana likasi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Rwekaza Sympho Mukandala: Hatma ya CCM 2020 bado haijulikani

    Maendeleo ya vitu uleta umasikini Mkubwa sana kwa watu, umasikini uleta chuki na mtawala aletae umasikini katu huwa apendwi only kwa wanufaika kina aongezewe mda.
  8. Bana likasi

    JamiiForums Tanzania Membe amtaka Tundu Lissu waunganishe nguvu waweze kuitoa CCM madarakani

    Uzuri wote wanauzika kimataifa,jiwe kabaki alone kawekeza kwenye dola badala ya watu. Mtaji ni watu na sio dola
  9. Bana likasi

    JamiiForums Tanzania Membe amtaka Tundu Lissu waunganishe nguvu waweze kuitoa CCM madarakani

    Yaliyopita si ndwele
  10. Bana likasi

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

    Bila yeye asingepigwa risasi
  11. Bana likasi

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

    Hata kumpa pole Lisu ajawahi Sasa nn kujipendekeza
  12. Bana likasi

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbiliyi (Sugu) awaumbua CHADEMA, akiri walichelewa Uwanjani kumuaga Mzee Mkapa

    Ila kiprotocal chadema wamechemsha leo, kawaida inatakiwa kuingia mapema kwenye shughuli kabla mkuu wa nchi ajaingia. Labda Kama kwa sababu ya uchovu wa Safari alipitiwa usingizi
  13. Bana likasi

    JamiiForums Tanzania Mr. Paul Makonda, kama Rais hajakuachia hata mlinzi mmoja akulinde, basi teuzi utazisikia kwenye Tv tu

    Ukikosa malezi Bora huwezi jua do and don't do
Back
Top Bottom